Mwanamke mmoja shinyanga anadaiwa kuiba mtoto kutoka mkoani mwanza na kimbadilisha jina kutoka Pascazia had I Maria.
Kwa bahati nzuri mlezi wake amepatikana ambae alisafiri kutoka Mwanza hadi Shinyanga kumfwata mtoto wake. Huku watu wengi wanaamini kua ni nguvu za kishirikina zetumika kumhamisha mtoto kutoka Mwanza hadi shinyanga.